Mbezi Louis, karibu na CRDB BANK
KUHUSU NDOMBA

Tunafanya electronics ziwe rahisi kukufikia popote ulipo

SISI NI NANI

Muuzaji wa electronics mwenye njia rahisi za malipo na mafundi wa kuaminika.

NDOMBA ELECTRONICS ni wauzaji wa vifaa vya kielektroniki na watoa huduma zinazowasaidia wateja kupata vifaa kwa malipo ya moja kwa moja, mkopo, akiba ya bidhaa na Top Up.

Tunawahudumia wateja kwa ushauri wa bidhaa, mauzo, ufungaji wa CCTV, wiring na vifaa vingine vya kielektroniki.

Jina la biasharaNDOMBA ELECTRONICS
Namba ya usajili606071
MahaliMbezi Louis, karibu na CRDB BANK
Simu0687 656 697
TUNACHOSIMAMIA

Huduma iliyo wazi, rahisi na yenye kujali.

01

Urahisi

Tunakupa chaguo la malipo linalokusaidia kufikia bidhaa unayohitaji.

02

Uaminifu

Tunakueleza bei, hatua na masharti kabla ya kuanza mpango wowote.

03

Msaada

Timu yetu iko tayari kukushauri kuhusu bidhaa, ufungaji na matumizi.