Mbezi Louis, karibu na CRDB BANK
HUDUMA ZETU

Electronics, visimbuzi na huduma za ufundi sehemu moja.

Chagua huduma ya malipo, ufungaji wa decoder & dish, au suluhisho za usalama kama CCTV, motor gate na alarm.

01

MKOPO WA TV,FRIJI NA FRIZA

Chagua kifaa unachohitaji na tuma ombi la mkopo. Timu yetu itakueleza vigezo, malipo ya awali, muda wa malipo na nyaraka zinazohitajika kabla ya kukamilisha makubaliano.

Tuma ombi
LO
02

KUWEKEZA KIDOGO KIDOGO

Chagua bidhaa, weka lengo la kiasi chake na endelea kuweka malipo kidogo kidogo. Ukifikisha bei kamili ya bidhaa, unakabidhiwa bidhaa yako kulingana na upatikanaji na makubaliano ya mpango.

Tuma ombi
SA
03

Top Up

Huduma ya Top Up inakuruhusu kuleta kifaa kinachokubalika, kifanyiwe tathmini, kisha kuongeza tofauti ya fedha ili kupata kifaa bora zaidi. Thamani ya kifaa hutegemea hali na aina yake.

Tuma ombi
TO
04

Ufungaji na Ufundi

Tunatoa huduma za ufungaji na ushauri wa kitaalamu kwa CCTV camera, wiring za majumbani na ofisini, TV, ving'amuzi na mifumo mingine ya kielektroniki.

Tuma ombi
IN
05

TUNAUZA VISIMBUZI NA KUFUNGA MADISHI

Tunatoa huduma ya kitaalamu ya kufunga na kuset decoder dish za AzamTV, DStv, StarTimes na visimbuzi vingine. Pia tunauza visimbuzi na vifaa vinavyohitajika kwa usakinishaji.

Tuma ombi
DE
06

CCTV & Security Systems

Pata ufungaji wa kitaalamu wa CCTV camera, motor gate, alarm, electric fence na mifumo mingine ya usalama kwa nyumba, ofisi na biashara. Tunasaidia pia ushauri wa vifaa vinavyofaa kulingana na mahitaji yako.

Tuma ombi
SE